Anaitwa Jenny Kimario, mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania ikiwa ni miongoni mwa waimbaji wanaokuja kwa kasi kubwa sana, kazi zake ni kubwa sana nzuri sana na hakika zinabariki, ni moja kati ya waimbaji wanao jiheshimu na kumweshimu Mungu, yupo tayari kwa mialiko wasiliana nae kupitia account yake halisi ya facebook. Jenny Kimario https://www.facebook.com/profile.php?id=100074178622559 , pia nyimbo zake zinapatikana YouTube channel yake Jenny Kimario. Pitia hapo hakika utabarikiwa. Gusa link hapo chini 👇👇
Muimbaji chipukizi wa muziki wa injili Tanzania, Joshua Kimario kijana mwenye umri wa miaka 22 anetia bidii katika muziki wa injili, historia yake inahamasisha vijana kufuata njia sahihi ipasayo kijana kuishi, karibu sana katika ukurasa huu, uweze kumfahamu Joshua Kimario vyema kabisa na baadhi ya waimbaji wengine wengi chipukizi wa muziki wa injili Tarakea – Tanzania